Panga Masoko Yako Kwa Mafanikio Sasa

SMS za kampuni zinazofika kila simu Tanzania

Jambo SMS matangazo, taarifa na OTP kwa jina la biashara yako. Lipa kwa TZS na fuatilia kila ujumbe.

DUKA LA MAMA
Habari Asha! Oda yako #1042 iko tayari. Karibu uchukue leo kabla ya saa 12 jioni.
Punguzo la 15% wikendi hii kwa wateja wote. Asante kwa kuwa nasi!
Imewasilishwa ✓ 12:04

Kila unachohitaji kutuma kwa mafanikio

Jina la mtumaji

Jina la biashara yako kwenye kila SMS, na hali ya idhini ikifuatiliwa mahali pamoja.

Tuma kwa wengi

Bandika namba, pakia faili au chagua kundi. Namba zinazojirudia na walioondoka huondolewa.

Ujumbe wenye jina

Weka {name} kwenye ujumbe na kila mteja apate jina lake.

Panga muda

Panga kampeni zitoke saa ambayo wateja wako wanasoma simu.

Ripoti za uhakika

Ona kilichotumwa, kilichofika na kilichoshindwa kwa kila namba, na pakua CSV.

API kwa wasanidi

Ombi moja la REST hutuma OTP na taarifa kutoka mfumo wako.

1

Fungua akaunti

Inachukua dakika moja.

2

Nunua salio

Lipa kwa M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money, HaloPesa au benki.

3

Tuma na fuatilia

Andika ujumbe, bonyeza tuma, kisha ona ripoti.

Vifurushi

Kadri unavyonunua zaidi, ndivyo kila SMS inavyokuwa nafuu.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Panga Masoko Yako Kwa Mafanikio Sasa

Anza bure